Sensa ya Parokia · Portal ya Waumini
Usajili wa Waumini kwa Kaya
Mwenye kaya anasajili familia nzima mara moja: wazazi, watoto na wanaoishi nyumbani, pamoja na taarifa za imani, sakramenti na Zaka. Hatua 8 · takriban dakika 10.
Majina na umriwa kila mwanakaya
SakramentiUbatizo, Komunio, Kipaimara
Namba za Zakakama zipo (SAS704…)
Jumuiya yakona Kanda unayoishi
Tayari una akaunti? Ingia. Unapendelea karatasi? Omba fomu ya Sensa kwa Kiongozi wa Jumuiya yako.