Rasilimali
Media Centre
Misa mubashara, mahubiri, mafundisho ya imani, kwaya na picha za matukio.
Ijayo: Dominika · 09:00
Misa ya Watoto na Familia — Mubashara
Itaonyeshwa mubashara kupitia YouTube ya Parokia.
Channel ya YouTubeParokia ya Mt. Bonaventura Kinyerezi
Misa ya kila Dominika hurushwa mubashara — Misa ya Watoto na Familia, saa 09:00. Video zote huhifadhiwa kwenye channel.