Ibada
Ratiba za Misa
Ratiba hii inasimamiwa moja kwa moja na Ofisi ya Parokia. Mabadiliko ya sikukuu hutangazwa hapa na katika Kalenda ya Kanisa.
Ratiba za Misa
Inasasishwa na OfisiMisa Takatifu
Jumatatu – Ijumaa
06:30Misa ya asubuhi
18:00Misa ya jioni
Jumamosi
07:00Misa ya asubuhi
18:00Misa ya Dominika (Mkesha)
Dominika (Jumapili)
07:00Misa ya Kwanza — Kiswahili
09:00Misa ya Watoto na Familia · Mubashara
11:00English Mass
18:00Misa ya Vijana
Ungamo
Sakramenti ya Kitubio
Alhamisi17:00 – 17:45
Jumamosi15:00 – 17:30
Kabla ya kila Misa ya DominikaKwa ombi
Kwa wagonjwa na wazee wasioweza kufika, omba Padre akutembelee.
Ekaristi
Kuabudu Ekaristi Takatifu
Kila Alhamisi 18:45 – 20:00
Kikanisa cha Kuabudu kiko wazi kila siku 06:00 – 21:00.
Jiandikishe kwa saa ya kuabudu kupitia Jumuiya yako au Portal ya Waumini.
Vigango
Misa katika Vigango
Kigango cha Mt. Maria Magdalena — KifuruDominika 08:00
Kigango cha Mt. Kizito — KibagaDominika 08:30
Ofisi
Ratiba ya Ofisi
Jumatatu – Ijumaa08:00 – 16:00
Jumamosi09:00 – 13:00
Jumapili na SikukuuOfisi imefungwa