Demo Version 1 — taarifa zote hapa ni za mfano, si halisi.
Kanisa la Mt. Bonaventura, Kinyerezi: mnara wa kengele wenye msalaba na picha ya Mt. Bonaventura
Karibu · Tumsifu Yesu Kristo

Karibu katika Kanisa Katoliki Mtakatifu Bonaventura Kinyerezi

Jumuiya ya Waamini katika Kristo, inayosali, inayotumikia na kutangaza Injili.

Picha: Parokia ya Mt. Bonaventura
Liturujia na Ibada

Leo katika Liturujia

Kalenda ya Kanisa inafuata Mwaka wa Liturujia — kila siku inaonyesha rangi, sikukuu, masomo na ratiba ya Parokia.

Ratiba za Misa

Misa Takatifu

Inasasishwa na Ofisi
Misa ijayo: Leo 18:00 JioniMisa ya jioni · baada ya saa 7 na dakika 42

Jumatatu – Ijumaa

06:30Misa ya asubuhi 18:00Misa ya jioni

Jumamosi

07:00Misa ya asubuhi 18:00Misa ya Dominika (Mkesha)

Dominika (Jumapili)

07:00Misa ya Kwanza — Kiswahili 09:00Misa ya Watoto na Familia · Mubashara 11:00English Mass 18:00Misa ya Vijana

Ungamo

17:00Alhamisi15:00Jumamosi
Huduma Mtandaoni

Omba Huduma ya Kanisa

Tuma ombi lako popote ulipo. Ofisi ya Parokia italipitia na kukujulisha hatua inayofuata — unaweza kufuatilia kila hatua.

Anza hapa
Msimamizi Wetu

Karibu Sana!

Parokia ya Mtakatifu Bonaventura ni familia ya waamini wanaojitahidi kuishi Injili ya Kristo katika ushirika, sala, huduma na upendo. Tunalenga kumjua Mungu zaidi, kuwahudumia watu wote, na kushiriki tumaini la uzima wa milele.

“Tafuta neema, si mafundisho tu; shauku ya moyo, si ufahamu tu; kilio cha sala, si bidii ya kusoma.”Mt. Bonaventura · Safari ya Akili kwa Mungu
2,486Waumini waliosajiliwa
19Jumuiya Ndogo Ndogo
2Vigango
11Vyama vya Kitume
Msimamizi wa ParokiaMt. BonaventuraAskofu na Mwalimu wa Kanisa · Sikukuu 15 Julai
Utume

Vyama vya Kitume na Huduma

Vyote
Pamoja katika Imani, Matumaini na UpendoVyama vya kitume katika adhimisho la Parokia
Portal ya Waumini

Parokia mkononi mwako

Sajili kaya yako mara moja, kisha uone kila kinachokuhusu wewe na familia yako — kwa usalama na faragha.

  • Fuatilia maombi yakoUbatizo, Ndoa, Nia za Misa — hatua kwa hatua
  • Ratiba ya usafi wa Jumuiya yakoPamoja na ukumbusho kwa SMS
  • Nia zako za MisaTarehe, Misa na uthibitisho wa Padre
  • Taarifa zako ziko salamaUnaona taarifa zako tu; Ofisi inathibitisha usajili
Mimi ni mzabibu, ninyi ni matawi. Akaaye ndani yangu nami ndani yake, huyo huzaa sana.Yohane 15:5